Swahili
Click hThe International Anthem For World Peace

Swahili Translation

By

Verle Rufenacht and Andre wM Kalend


WIMBO WA AMANI KWA ULIMWENGU


O kitu kizuri, sayari ya dunia, nchi yote unga kwa amani

Kama mwanga inafika kutoka jua kubwa, upendo inatujaza kutoka magharibi mpaka mashariki

Sayari ya dunia yetu, mifumo ya sayari yetu

Tunaomba Mungu kuokoa ulimwengu zetu,

Na kusimamisha vita vyote duniani.

Na watoto wote wa Mungu watakuwa pamoja.O kitu kizuri, kama ulimwengu itapata amamini,

Na watoto wote watacheka na kucheza,

Akina mama watafikiri mategemeo ya baadaye nzuri kwa watoto, na njia ya furaha,

Sayari ya dunia yetu, mifumo ya sayari yetu,

Ulimwengu ni mahali kwa watu wote kutumia vitu vyote,

Mahali amani inakaa, na wote wanaishi,Na kusimamisha vita vyote duniani,

Na watoto wote wa Mungu watakuwa pamoja.

Amani na upendo zitakuja kutoka mbunguni,

Na watu wote watapata uhuru.O kitu kizuri, duniani yetu ya leo,

Mahali amani na upendo zipo,

Wakati fulani hatukuwa pamoja, lakini sasa tunayoheshima kwa watu wote,

Sayari ya dunia yetu, mifumo ya sayari yetu,

Mungu aliridhushwa sasa

Ni siku ya fahari na amani kwa watu wote,

Na watu wote wataishi pamoja hapa duniani kwa amani.Na kusimamisha vita vyote duniani,

Na watoto wote wa Mungu watakuwa pamoja.

Amani na upendo zitakuja kutoka mbunguni,

Na watu wote watapata uhuru.O kitu kzuri, sasa watu walisikia njaa wameshashiiba,

Pia dunia na hewa ni safi,

Hakuna mawingu uko mbinguni, jua inaota na nyasi ni rangi ya majani,

Sayari ya dunia, mifumo ya sayari yetu,

Tunatoashukurani kwa sababu sku hizi,

Tumefudisha kutoa msaada kwa marafiki kama wanahitaji msaada, tupo tayari kutoa msaada kwa watu wote.Na kusimamisha vita vyote duniani,

Na watoto wote wa Mungu watakuwa pamoja.

Amani na upendo zitakuja kutoka mbunguni,

Na watu wote watapata uhuru.O kitu kzuri, watu wa kila nchi wanasikia fahari na uhuru,

Wanasimama pamoja nchi yote,

Wanatoa sifa kwa Mungu kwa mahali pazuri,

Sayari ya dunia yetu, mifumo ya sayari yetu.

Watu wote tutakomaa pamoja,

Tutaelewa vizuri upendo kutoka mbuguni kila wakati.Na kusimamisha vita vyote duniani,

Na watoto wote wa Mungu watakuwa pamoja.

Amani na upendo zitakuja kutoka mbuguni,

Na watu wote watapata uhuru.    Tutaelewa vizuri upendo kutoka mbuguni kila watati

 

Initial Translation by Vele Rufeacht; Final adaptation by Andre Kalend